Thursday, March 22, 2018

Tamimu Omurungi Ft. Kamdingi Flani _ Akamotoka



Msanii mkali anayekuja kwa kasi kutoka mkoa wa Kagera Tamimu Omurungi ameachia ngoma yake mpya aliyoipa jina la 'Akamotoka' ambapo ndani yake kuna mchanganyiko wa lugha ya Kiswahili na kilugha cha Kihaya. Msanii huyo kwa kushirikiana na msanii mwenzake Kamdingi Flani wameweza kuachia audio na video za wimbo huo zinazofanya vyema kwenye vituo mbalimbali vya Redio na TV kanda ya ziwa na kupokewa vizuri na mashabiki wao. Kwa sasa video hiyo inapatikana You Tube, bofya kwenye link uitazame.


1 comment:

  1. Samahani huu msanii uwa yuko vzur na iliyozama kwa undani ana sauti ya kipekee n mwandishi mzuri na amebakiwa sauti kwann kageralink.blogsport.mkashka mkono

    ReplyDelete